Katika maisha kila kitu ni muhimu lakini umuhimu unazidiana kwa hiyo ni muhimu kuhakikisha kuwa tunafanya mambo kwa kuzingatia umuhimu.
Umuhimu wa kitu hutegemea muda unaotumika katika jambo husika.
Hivyo basi ni vyema kujitumia muda wako vizuri katika kupambanua vipaumbele vyako kwa kuzingatia msukumo binafsi zaidi kuliko misukumo toka nje external force .kwakuwa hii maisha yake ni mafupi katika ufanisi kuliko hata majani ya mti kwenye matawi. (M.E. Mvamba)
No comments:
Post a Comment