Thursday, June 29, 2017

KITU UNACHOPASWA KUSHIKILIA

Katika maisha kila kitu ni muhimu  lakini umuhimu  unazidiana kwa hiyo ni muhimu kuhakikisha kuwa tunafanya mambo kwa  kuzingatia  umuhimu.
   Umuhimu wa kitu hutegemea muda unaotumika katika  jambo husika.
    Hivyo basi  ni vyema kujitumia muda wako vizuri katika kupambanua vipaumbele vyako kwa kuzingatia msukumo binafsi zaidi kuliko  misukumo toka nje external  force .kwakuwa  hii maisha yake ni mafupi katika ufanisi kuliko hata majani ya mti kwenye  matawi. (M.E. Mvamba)

No comments:

Post a Comment